Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
1,012
Reaction score
741
APARTMENT FOR SALES
๐–จ๐–ช๐–ฎ ~ ๐–ฃ๐– ๐–ฑ ๐–ค๐–ฒ ๐–ฒ๐– ๐–ซ๐– ๐– ๐–ฌ๐–ณ๐—“
๐–ฌ๐– ๐–ง๐– LI - MBWENI MPIJI
PRICE - 1.5 BILION
MAONGEZI YAPO
____________________

UKUBWA KIWANJA CHAKE ~ SQM 1200
UMILIKI ~ INA HATI ( TITLE DEED )
________________

APARTMENT ZA KISASA
Z๐–ค๐–ญ๐–ธ๐–ค ;
____________

๐–ต๐—’๐—Ž๐—†๐–ป๐–บ ๐–ต๐—‚tatu zipo mbili
Vyumba viwili zipo mbili
Jumla zipo nne juu mbili & chini zipo mbili
____________________________

NB; Nyumba kwa sasa zinawapangaji
Wanalipa kodi tsh laki 6 kwa mwezi kwa kila nyumba
Hivyo jumla ya nyumba yote inakusanya kodi ya Tsh Mil 2,400,000/ = kila mwezi
__________________________________

๐–ณ๐–ด๐–ถ๐– ๐–ฒ๐–จ๐–ซ๐–จ๐– ๐–ญ๐–ค
___________

๐Ÿข๐Ÿฉ๐Ÿฃ๐Ÿค๐Ÿฆ๐Ÿจ๐Ÿฆ๐Ÿฉ๐Ÿฉ๐Ÿฉ
๐Ÿข๐Ÿจ๐Ÿง๐Ÿช๐Ÿฅ๐Ÿฅ๐Ÿฉ๐Ÿฉ๐Ÿฅ๐Ÿข
๐Ÿข๐Ÿฉ๐Ÿจ๐Ÿซ๐Ÿข๐Ÿฉ๐Ÿข๐Ÿค๐Ÿฆ๐Ÿฉ
 

Attachments

  • IMG_2625.jpeg
    IMG_2625.jpeg
    1.1 MB · Views: 10
  • IMG_2624.jpeg
    IMG_2624.jpeg
    738.7 KB · Views: 15
  • IMG_2623.jpeg
    IMG_2623.jpeg
    752.7 KB · Views: 12
  • IMG_2622.jpeg
    IMG_2622.jpeg
    719.9 KB · Views: 18
  • IMG_2621.jpeg
    IMG_2621.jpeg
    722.1 KB · Views: 11
  • IMG_2620.jpeg
    IMG_2620.jpeg
    711.7 KB · Views: 11
  • IMG_2619.jpeg
    IMG_2619.jpeg
    752.4 KB · Views: 11
  • IMG_2618.jpeg
    IMG_2618.jpeg
    724.9 KB · Views: 15
  • IMG_2617.jpeg
    IMG_2617.jpeg
    745.9 KB · Views: 10
  • IMG_2614.jpeg
    IMG_2614.jpeg
    1 MB · Views: 9
  • IMG_2615.jpeg
    IMG_2615.jpeg
    884.6 KB · Views: 13
  • IMG_2616.jpeg
    IMG_2616.jpeg
    861.1 KB · Views: 10
Hahah thamani ya kodi inaweza kupanda hivyo punguza punguza kidogo hiyo miaka 52 watu wasikate tamaa...
Sawa, je wakati thamani ya kodi inapanda hilo jengo litabaki hivyo hivyo? Je lina uwezo wa kukaa miaka 52 ? Gharama mbali mbali na matengenezo ? Ndio kwanza hiyo miaka inaweza ikaongezeka badala ya kupungua!
 
Turudi Darasani:
1 month = 2,400,000
1 year = 28,800,000
1.5 Billion ukiigawa kwa 28,800,000 kila mwaka ni miaka: 52 (ndio pesa yako itarudi)

Hiyo pesa si bora ununue BITCOIN ๐Ÿ˜Ž
Kwa haraka haraka uwekezaji wa nyumba mara nyingi faida ni baada ya miaka 10
Kwa mahesabu hayo ina maana nyumba inatakiwa iuzwe 250mil - 350mil
 
Ndio ujinga wao madalali overpricing za ajabu ajabu

Tatizo wengi wao hawajasoma shule.

Nikadhani anauza apartment units, kumbe anauza apartment building. Hajui the difference. Eti apartment for sale!

Mwenye jengo angeweza kuli advertise vizuri zaidi. Lakini madalali wameiaminisha jamii kwamba wao wana wateja.

Mwisho wa siku dalali anarudi JF. Sa kama ndo hivi, mwenye jengo hana laptop au smartphone afanye mwenyewe?

Hudhani mwenye nyumba ana camera nzuri kuliko Techno iliyopasuka kioo ya huyo dalali ?

Matajiri wana MBAs, wana vyeti vya Marketing, Financing, Tehama, Communication....., lakini tunawapa kazi watu illiterate watuonyeshe jinsi ya kuuza na kununua mali zetu !

Elimu yetu nayo kama ya madalali.
 
Back
Top Bottom