Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

Unawekeza bilioni 1.5 ili upate milioni 28 kwa mwaka 😀😀😀 huu ujinga hata kwa makofi hautoki

Turudi Darasani:
1 month = 2,400,000
1 year = 28,800,000
1.5 Billion ukiigawa kwa 28,800,000 kila mwaka ni miaka: 52 (ndio pesa yako itarudi)

Hiyo pesa si bora ununue BITCOIN 😎
Na hapo umeassume occupancy rate ya 100% kwamba unit zote 4 zina wapangaji siku zote kwa miaka 52😢 which is not realistic so ni zaidi ya miaka 70 kurudisha hyo pesa.
 
Wakulaumiwa hapo ni madalali, nadhani kuna haja ya kuwa na platform moja kwaajili ya biashara ya nyumba
 
Turudi Darasani:
1 month = 2,400,000
1 year = 28,800,000
1.5 Billion ukiigawa kwa 28,800,000 kila mwaka ni miaka: 52 (ndio pesa yako itarudi)

Hiyo pesa si bora ununue BITCOIN 😎
Exactly o ukiimwaga iyo ela UTT per year 12% uhakika 15M kila mwezi, less stress na makando kando yote ya biashara.

Kwa ufupi kila mwezi unaenda vacation.
 
Kiuhalisia hizo nyumba unaweza kukuta zinauzwa milioni 600 mpaka 800 ila dalali kaongezea milion 600 za kwake,hivi hizi nyumba zinazouzwa kuanzia billion 1 huwa zinapata wateja?
 
Yan uwekeze 1.5b alafu upate mil 2.4 kwa mwezi?
Angewekeza utt angepata ngapi Kila mwezi angekuwa anapata 15M huku amekaa hapigizani kelele na mpangaji.
Kwa mwaka anazo 180M ukitoa na 10% AS TAX ANABAKIA NA 162M ambayo anajenga nyumba ya Kila mwaka anasimamisha
 
Back
Top Bottom