Apartment inapangishwa lumumba st,kariakoo mnazi mmoja

Apartment inapangishwa lumumba st,kariakoo mnazi mmoja

LIFE HELP

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
149
Reaction score
71
Apartment iko mjini kabisa, ina vyumba 3(1 self contained) , sitting room kubwa, kitchen, store, bei us dollar 500 @ mwezi malipo kwa mwaka maongezi yapo... nyumba bado mpya usafi ni wa hali ya juu, kwa yeyote atakae ihitaji ani PM,, KARIBUNI SANA
 
Back
Top Bottom