zeromagic
Senior Member
- Sep 14, 2016
- 186
- 67
Apartment ina vyumba viwili, sebule na jiko. Chumba kimoja ni master.
Iko kwenye compound ya nyumba 3. Kuna geti na parking. Barabara inapitika.
Umeme unajitegemea.
Kuna matank ya kutunza maji, ikitokea maji yamekatika.
Ipo maeneo ya greenview-kiseke, Mwanza.
Kodi 2.5M kwa mwaka.
Mawasiliano 0686194335. Unaweza kupiga au kutuma sms, whatsapp ndo ingependeza zaidi