JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 652
Apartment mpya kabisa hizi zipo kmr temboni upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka main road ni dk 5 tuu kwa miguu zipo 3 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio imebakia ina vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master kubwa sana,, sebule kubwa, jiko na store na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei laki 3.5 Kwa mwezi Mkataba Kuanzia Miezi 6 Na Kuendelea