Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
LetaChukua 2 mkuu.
Natanguliza laki tano nyingine nitakupa mshahara ukitoka.Leta
Leta!!Natanguliza laki tano nyingine nitakupa mshahara ukitoka.
Dalali Hana tofauti na Malaya wa kimboka,.. Yan wanatajataja tu na ukijaa unapigwa akili inakuja kukurudi umeshatoa helaMilioni 50 unamvua mtu Tandika kiwanja cha 400SQM,milioni 100 unajenga nyumba ya vyumba vitano na parking ya kutosha,milioni 100 unanunua Ford ranger ya maana sana kuendea kariakoo kutoka Tandika 8.3 Km,inabaki milioni 30,unanunua shamba heka 20 la mana pale Mkuranga,likiwa na mazao weekend unaenda kulitembelea na ford Ranger yako
😂😂😂😂😂Milioni 50 unamvua mtu Tandika kiwanja cha 400SQM,milioni 100 unajenga nyumba ya vyumba vitano na parking ya kutosha,milioni 100 unanunua Ford ranger ya maana sana kuendea kariakoo kutoka Tandika 8.3 Km,inabaki milioni 30,unanunua shamba heka 20 la mana pale Mkuranga,likiwa na mazao weekend unaenda kulitembelea na ford Ranger yako
😂😂😂😂😂Dalali Hana tofauti na Malaya wa kimboka,.. Yan wanatajataja tu na ukijaa unapigwa akili inakuja kukurudi umeshatoa hela
Sijawahi kupenda kununua penthouse/condo hata nikija kuokota bilioni....Napenda kuwa na standalone house/mansion.......Huku labda renting tu for a short time
Wee jamaa Ni fala sana 😂Dalali Hana tofauti na Malaya wa kimboka,.. Yan wanatajataja tu na ukijaa unapigwa akili inakuja kukurudi umeshatoa hela