Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Wakubwa,
Natafuta apartment ya viwango au nyumba ya kupanga iliyo bora.
Maeneo ya Manispaa ya Arusha Mjini
Vyumba viwili vya kulala.
Iwe na sehemu ya kuegesha gari.
Ikiwa u dalali tafadhali jiandae kunitembeza sehemu kama tano hivi.
Tafadhali niandikie private message.