Apartment/Nyumba inatafutwa Arusha

Apartment/Nyumba inatafutwa Arusha

Tindikali

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
2,086
Reaction score
2,823
Wakubwa,

Natafuta apartment
ya viwango au nyumba ya kupanga iliyo bora.

Maeneo ya Manispaa ya Arusha Mjini

Vyumba viwili vya kulala.

Iwe na sehemu ya kuegesha gari.

Ikiwa u dalali tafadhali jiandae kunitembeza sehemu kama tano hivi.

Tafadhali niandikie private message.
 
hi mkubwa
kuna nyuma ipo mitaa ya TEngeru 11km from arusha town
ina vyumba vinnne vya kulala (two masterbedroom na two normal room) jiko la kisasa
side house carparking na ukuta.
fee per month 500USd
 
hi mkubwa
kuna nyuma ipo mitaa ya TEngeru 11km from arusha town
ina vyumba vinnne vya kulala (two masterbedroom na two normal room) jiko la kisasa
side house carparking na ukuta.
fee per month 500USd

Ahsante Mkuu,

Ila Tengeru naona itakuwa mbali kidogo na Manispaa ya Arusha Mjini kwa mahitaji yangu. Hata hivyo nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom