House4Rent Apartment/Nyumba zinapangishwa

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,423
Reaction score
1,987
Natumai wote wazima.

Apartment nzuri zinazojitegemea (Vyumba 2 vya kulala, Sebule,Jiko,Choo) zinapatikana Kimara na Mbezi/MOROGORO Rd.

Pamoja na Nyumba (kubwa) za pekeyake zipo hizo na nyingine nyingi.

Maeneo tofauti tofauti ya Jiko la Dar.
Pia Mikoani tunakupatia huduma kwa uaminifu mkubwa na ndani ya wakati.

Chagua inayokufaa hapa na
Iwapo unalo hitaji tofauti la aina ya Nyumba au eneo/Mkoa wowote,
Nipigie tuyajenge.

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja,
Gharama ya kupelekwa kukagua ni Tshs.20,000 tu.

Karibu.

 
Hivi hiyo gharama ya "kukagua" mnaanishaga nini?

Maana mtu anakuja na gari yake,anatumia mafuta yake,anakuendesha mpaka nyumba ilipo halafu unamdai pesa, sijui mpoje nyie watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…