Je ukubwa wa vyumba ukoje kwa mfano sebule na cha kulala na hiyo laki moja unusu unatoa kila mwisho wa mwezi au ndio unalipia pango kwa mwaka mzima.Pia ingenoga ungetoa picha zake hapa jamvini,pia nataka kujua kama ziko ndani ya fensi n.kZipo kimara suka. Mita chache kutoka barabara kuu(Morogoro Road) Zina chumba kimoja cha kulala, sebure, choo na bafu na jiko ndani kwa ndani au self contained.
kodi kwa mwezi sh 150,000/-. Kwa mwezi. kwa maelezo zaidpiga simu na 0717114409 au 0755312233
Zipo ndani ya fence. kodi miezi sita.
Njia zipo nyingi kuelekea huko kurasini, waweza pitia kinyerezi si lazima kupitia ubungoTatizo hiyo sehemu kwa watu tufanyao kazi maeneo ya kurasini itatubidi tuamke saa kumi asubuhi!
jamani acheni uswahili, c ameweka simu zake hapo...if ur interested call the guy arrange with him and go have a look/survey. sidhani kama utalazimishwa kulipia nyumba bila ww kuikagua nakuridhika nao...mambo ya picha sijui dimensions...acheni hizo..:mad2: