Apartments 8 nzuri sana zinauzwa 80 milioni Tegeta kwa Ndevu-Dar

Apartments 8 nzuri sana zinauzwa 80 milioni Tegeta kwa Ndevu-Dar

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Apartments 8 NZURI SANA zinauzwa 80mlTsh maongezi yapo.

LOCATION:TEGETA KWA NDEVU-DSM

CONTACT: 0723057669

-Apartments hizi zipo katika muundo
ufuatao:
(1)Upande mmoja zipo units (4) NNE
ambazo zipo katika muundo wa
CHUMBA MASTER NA SEBULE
-Units 3 kati ya hizo units 4 kodi kwa kila
unit kwa mwezi ni Tsh 200,000/=
-Unit ya 4 kodi yake kwa mwezi ni
Tsh 170,000/=.

(2)Upande wa pili ipo unit 1 iliyo katika
mfumo wa CHUMBA NA SEBULE.
-Unit hii kodi yake kwa mwezi ni
Tsh 150,000/=.

(3)Pia zipo units 3 zilizo katika mfumo wa
CHUMBA KIMOJAKIMOJA SINGLE.
-Hizi zinashea bafu na choo kwa nje.
-Kodi kwa kila unit kwa mwezi ni
Tsh 100,000/=.

-Pia kipo chumba 1 cha ziada SINGLE
AMBACHO NI CHA KONTENA.
-Kodi yake kwa mwezi ni Tsh 50,000/=.

NOTE THAT:Apartments zote kwa sasa
zina wapangaji.

-Plot size ni 400 meter square.
-Umiliki ni wa mkataba wa mauziano
(SALES AGREEMENT DOCUMENT).
-Maji safi dawasco na umeme vyote vipo.
-Zimekamata barabara kuu ya mtaa gari
hadi ndani.

Zipo mita 400 tu kutoka barabara kuu ya lami umbali wa kutembea kwa miguu.

Bei yake ni 80mlTsh maongezi yapo.

Call/WhatsApp 0723057669
Kuiona 50,000
1793112466842.jpg
 
89565.jpg
 

Attachments

  • 1793112480384.jpg
    1793112480384.jpg
    122.8 KB · Views: 4
  • 1793112483245.jpg
    1793112483245.jpg
    91.6 KB · Views: 3
  • 1793112473772.jpg
    1793112473772.jpg
    126.2 KB · Views: 3
  • 1793112477438.jpg
    1793112477438.jpg
    129.6 KB · Views: 4
  • 1793112470640.jpg
    1793112470640.jpg
    166.6 KB · Views: 3
  • 1793112466842.jpg
    1793112466842.jpg
    156.7 KB · Views: 4
Kwa hesabu halisi:

Ikiwa wapangaji wote 9 wapo mwaka mzima (bila kutoka):
Mapato = 1,270,000 x 12 = 15,240,000 kwa mwaka
Mtaji unarudi: 80,000,000 / 15,240,000 = Miaka 5 na Miezi 3

Lakini uhalisia Dar kuna kutoka na matengenezo:

Kata hizi:
  • Wapangaji kutoka 1 mwezi tupu kwa mwaka = -1,270,000
  • Matengenezo (rangi, bomba, umeme) = -1,500,000 kwa mwaka
  • Umeme wa nje / maji / Toi = -800,000

Mapato halisi (NET) = 11,670,000 kwa mwaka

Kwa uhalisia mtaji unarudi:
80M / 11.67M = Miaka 6 na Miezi 10

Baada ya hapo kila mwezi 1.2M ni faida yako safi.

Ukishusha bei hadi 70M kama nilivyokushauri, mtaji unarudi Miaka 6 tu.

Hii ni bora kuliko kuweka 80M benki. Benki inakupa 6.4M kwa mwaka (8%). Hii inakupa 11.6M karibu mara mbili.
 
Mil 80?
Kina hati?
Tegeta kwa ndevu upande upi
 
Back
Top Bottom