House4Rent Apartments mpya zinapangishwa (120k per month)

House4Rent Apartments mpya zinapangishwa (120k per month)

Mbona kama sink la choo limejazwa matakataka? Vipi kuhusu upatikanaji wa warembo kwenye huo mtaa?
 
😅😅😅😅 Mwanza huwa napende hicho hasa kale ka kiwanja ka Diamond mapema nikifa nalipia chumba nakaa na funguo, chochote kikitokea napona... Huwa nalipia hotel mbili nitayo lala na nitayo tombeerea 😅😅😅😅

Lovelovie anapajua pale hicho kiwanja kinachangamukaga sana na pale uzuri nina dalali wangu pisi mpya kali lazima anipe anajiita dangote 😅😅😅
Huyo Dangote ndo yukoje.
Yani sa hii kuna hyo sehem mpya inaitwa Bucket kunajaa watu hadi kero
 
Lovelovie mie hizo apartments bubu sipendi mwaya ingekuwa hivi ningefikiria .

Raha ujipe mwenyewe

Screenshot_20221128-085004.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20221127-121049.jpg
    Screenshot_20221127-121049.jpg
    63.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221127-121103.jpg
    Screenshot_20221127-121103.jpg
    50.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221128-085256.png
    Screenshot_20221128-085256.png
    201.6 KB · Views: 12
Back
Top Bottom