House4Rent Apartments mpya zinapangishwa (120k per month)

Mbona kama sink la choo limejazwa matakataka? Vipi kuhusu upatikanaji wa warembo kwenye huo mtaa?
 
Huyo Dangote ndo yukoje.
Yani sa hii kuna hyo sehem mpya inaitwa Bucket kunajaa watu hadi kero
 
Lovelovie mie hizo apartments bubu sipendi mwaya ingekuwa hivi ningefikiria .

Raha ujipe mwenyewe

 

Attachments

  • Screenshot_20221127-121049.jpg
    63.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221127-121103.jpg
    50.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221128-085256.png
    201.6 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…