Apartments, Shopping Mall, Low/Affordable Cost housing au Printing Complex?

Kuna njia tatu:

(1) Watafutie connection na mmojawapo wa watoto au wawakilishi wa kiongozi mkubwa sana serikalini, wakubaliane kuwa 20% ya biashra yao itakuwa ni mali ya kiongozi huyo. Wakishakubaliana hivyo, watapata faida kubwa sana kwa vile watakuwa hawalipi kodi yoyote, na ile 20% wanayowalipa familia ya kiongozi itakuwa ni chini ya kiwango ambacho wangelipa kodi. Playbook nzuri iko Barrick; in fact wataweza kubadilisha namba za mapato yao na kuishia kulipa familia ya kiongozi hata chini ya 10%, plus tax free, na labda ulizni wa bure wa polisi wa serikali.

(2) kama hawataki kufanya transactions dubious, hasa kama wanatoka nchi ambazo huwa zinaangalia business dealings za raia wao wanapokuwa nchi za nje, basi njia pekee ni kuwaambia ukweli kuwa Tanzania haijawa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Watafutie nchi nyingine za jirani ambazo zina utaratibu unaoaminika kama vile Rwanda au Kenya.

(3) Iwapo hayo yote hapo juu siyo mazuri, washaauri wakupe wewe hizo hela halafu wewe ndiwe ufanye biashara hiyo kiswahili swahili. Ukiifanya kiswahili swahili ukiwa unachanganya mishen town na mambo ya aina hiyo, unaweza kupata faida kubwa sana kuliko ambayo wao wangepata, na hivyo utawapatia faida yao halali na wewe kubaki ni kitu fulani.
 
Shopping mall:ni vyema kufikiria ya kesho wakati unawekeza bigtime ili mradi wako husiwe outdated kabla ya faida yako kurudi. Kwa maana hii naona shopping mall ni out of question kama una mtaji wa USD.10m. Kumbuka tayari tumesha wekewa standard ya quality center na mlimani city.

Apartments: Utakuwa on the right track kama ukifikiria fully furnished short and long term rentals ambazo uta target wageni kwa ajili tourism itazidi kukuwa kwa kasi for a long time. Hizo apartments ziwe na quiet surrounding kwa hiyo sio lazima ziwe na shops pubs and restarant na kama nilazima ziwepo ziwe separate kabisa. Ziwe na swimming pool, sauna Jacuzzi na gym na full internet connections. Zikiwa standard nzuri ma hoteli makubwa yatazipigania kununua au management na hela ya muwekezaji itarudi haraka.

Printing Complex:

Soko ya printing ni kubwa sana Tanzania. Pia kuna magazeti mengi. Ukiweza kutengeneza state of the art printing complex ambayo unaweza ku print magazeti, vitabu nk kwa bei nafuu na quality ya juu utaweza kufanya vizuri.

Low / Affordable housing:
Katika suggestion zako naona hii inaweza kufanya vizuri kuliko zote. Ila itabidi uingie kama developer.Kabla ya yote ukae na NHC na benki kadhaa mpatane kwamba utajenga nyumba haina gani na ngapi. Benki wawakopeshe hela wanunuzi na hela yako irudi upon completion. Vizuri zaidi kama NHC wanaweza kuingia kati ili hizo nyumba ziwe ni za tenant purchase kwa mda wa 30 to 40 yrs ili ziwe affordable kwa watu wengi. Kwa hii set up nyumba zitapewa watu ambao watalipa kodi za kawaida na baada ya miaka hiyo nyumba inakuwa ya mpangaji aliye kabidhiwa. Akishindwa kulipa inakabidhiwa mtu mwingine au aipangishe ili mwingine aendelee kulipa hiyo kodi. Hata kama hela yako haitoshi itakuwa rahisi kupata bridging finance ya kukamilisha mradi mkubwa ambao nadhani uki aproach serekali unaweza uka fit ndani ya mji mpya kigamboni.
 
Real estate is not feasible in Tz. Printing inayolipa bongo ni ya madaftari, easy (not four color printing) especially hardbacks na a few softbacks. Makaratasi China. USD 500,000 zinatosha. Milioni 10 si bora uwekeze nchi za nje?
No wonder benki za nje zimejaa hela za Tanzania
 

Very realistic!
 
Ni kweli ilikuwa niwapeleke Rwanda lakini kutokana na hasira zangu na Tanzania lakini nimetia moyo konde nikaona why not bongo japo tuna matatizo

sasa wao wana taka quick returns

Kama wanataka Quick returns tengeneza Apartments.

Unauza kabla jengo halijaisha zoote. Ila bei tu iwe reasonable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…