Apata ajali kabla hajakabidhi Talaka na Urithi

Suala ni ndoa sio kuishi na zaidi ya mmoja...
Nami nakuambia alikuwa na wake watatu halali kabisa wa ndoa. Au unadhani ndoa ni kwa waislam na wakristu pekee? Ukienda Wilayani huwezi kufunga ndoa ya kiserikali?

Kaka yangu ni mkristu na ana wake wawili, ndoa kafungia hapo Ilala boma...
 
sina maoni....
 
Kwani hao wasio kua na Dini talaka inatoka wapi, Talaka ni utaratibu maususi wa kuachana kufuata misingi ya Dini zetu hizi ngeni.
Unaenda mahakamani unavunja ndoa kiroho safi kabisa. Mbona simple tu?
 
Wanaume tunatafuta mali kwa Shida halafu zinatuangamiza wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…