Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hivi wale wanaoachia wanasheria Huwa inakuwa je?Talaka haikufika kwa mlengwa..mirathi hakupewa aliyekusudiwa ..hakuna aliyeachika Wala kupewa mirathi hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wale wanaoachia wanasheria Huwa inakuwa je?Talaka haikufika kwa mlengwa..mirathi hakupewa aliyekusudiwa ..hakuna aliyeachika Wala kupewa mirathi hapo
Nami nakuambia alikuwa na wake watatu halali kabisa wa ndoa. Au unadhani ndoa ni kwa waislam na wakristu pekee? Ukienda Wilayani huwezi kufunga ndoa ya kiserikali?Suala ni ndoa sio kuishi na zaidi ya mmoja...
Tuendelee kusoma comments za wadauHivi wale wanaoachia wanasheria Huwa inakuwa je?
sina maoni....Nami nakuambia alikuwa na wake watatu halali kabisa wa ndoa. Au unadhani ndoa ni kwa waislam na wakristu pekee? Ukienda Wilayani huwezi kufunga ndoa ya kiserikali?
Kaka yangu ni mkristu na ana wake wawili, ndoa kafungia hapo Ilala boma...
Unaenda mahakamani unavunja ndoa kiroho safi kabisa. Mbona simple tu?Kwani hao wasio kua na Dini talaka inatoka wapi, Talaka ni utaratibu maususi wa kuachana kufuata misingi ya Dini zetu hizi ngeni.
We una wangapi mpaka sasa?Waislamu wenzangu tuongeze wake, hasa tuwanusuru wajane na masingle mama!