apeal heslb

apeal heslb

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
habari wanajamvi, sijabahatika kutazama taarifa ya habari usiku huu ila kuna mtu kanipigia simu kaniambia kuna taarifa kuhusiana na apeal ya heslb kwaiyo mwenye taarifa kamili kuhusiana na ilo atujuze please.
 
Dogo ukitaka uliwe 5000 yako we appeal, watu toka tume appeal mwaka jana no feedback, hadi tukaomba upya lakin hamna lolote, in short hawa jamaa ni mizinguo tu.Na kama upo home huwezi appeal sababu kuna reg number na mhuli wa dean of student unahitajika.IN SHORT MDA WA KUAPPEAL BADO HUJAFIKA TEMBELEA MARA KWA MARA WEBSITE YAO
 
ila ukifika ktk jengo la heslb uktaka kipeperushi utapewa na 06 nov nazani watatoa info kuhusu ku-appeal coz me nna kipeperushi hcho ninacho
 
Poleni wote tuliokosa mkopo,mimi ni kiongozi wa lile kundi la watu thelathini na 32,tuliokutana na kamati ya maendeleo ya jamii ya Mwenyekiti Mh.Magreth Sitta kuomba na kuishinikiza serikali kutupatia ada ya chuo,tuliangaika sana wiki nne barabarani ila mwishowe ikatolewa bilion 3.1,huwezi amini na juhudi zote jina langu halpo kwa wategemewa wa mkopo,hivyo basi kwa moyo mpya nimeamua kuanzisha harakati nyingine ambayo itawashilikisha wakuu wa nchi hii hadi Mh.Rais,ninaimani sana bodi wanafanya mambo kinyume hawako kwa masilahi ya wanafunzi na umma wapo kwa masilahi yao,hivyo basi kwa yeyote anayejua kuwa suala la yeye kukosa mkopo kwake ni hujuma na hajalidhka na maamuzi ya bodi mfano kupewa sababu feki kama kumaliza shule miaka mitatu nyuma na sio kweli,kutuma fomu ya maombi bodi na yeye kuambiwa hajatuma na wakati una list ya EMS,kutukanwa na wafanyakazi wa bodi kwa aina yoyote ile tafadhali tuwasiliane kupitia 0712177649,tushrikiane kwa ili.HAKI INACHELEWESHWA ILA HAIDHULUMIWI.
 
Back
Top Bottom