Apedomia, Unyani wa kuuza Tanganyika kwa Tende na Harua. RIP MCH. MTIKILA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Tujikumbishe.

Akina Kabudi, et al ambao ni watanganyika, TANGANYIKA inauzwa na wazanzibari. Kabudi and Co. Ltd wanafurahi kwa vile wanapata Tende na Harua!

Nakililia Tanganyika yangu

RIP Mchungaji Mtikila
 
Attachments

  • VID-20261004-WA0026.mp4
    11.8 MB
Natamani sana kumjua vyema huyu mjomba, hivi kwa ninyi mliomuishi kwa kiasi kikubwa alikuwa mkorofi kiasi gani?

Lissu anamfikia hata chembe kwa kuibagaza serekale?

Umri wangu ni mdogo kiasi nilimfaidi mwishoni kabisa enzi za uhai wake na nilipata bahati fulani ya kumuona kwa macho
 
Tujikumbishe.

Akina Kabudi, et al ambao ni watanganyika inauzwana wazanziba wanafurahi kwa vile wanapata Tende na Harua!

Nakililia Tanganyika yangu

RIP Mchungaji Mtikila
ROSTAM AZIZI ALIKUWA ANACHUKIZWA SANA NA HUYO MTU
 
Natamani sana kumjua vyema huyu mjomba, hivi kwa ninyi mliomuishi kwa kiasi kikubwa alikuwa mkorofi kiasi gani?

Lissu anamfikia hata chembe kwa kuibagaza serekale?

Umri wangu ni mdogo kiasi nilimfaidi mwishoni kabisa enzi za uhai wake na nilipata bahati fulani ya kumuona kwa macho
Alikua kachero,mbaguzi wa rangi nk
 
Tujikumbishe.

Akina Kabudi, et al ambao ni watanganyika inauzwana wazanziba wanafurahi kwa vile wanapata Tende na Harua!

Nakililia Tanganyika yangu

RIP Mchungaji Mtikila
Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
downloadfile.png
FB_IMG_1762334534298.jpg
 
Rostam akaita press na risiti za hela alizoomba mtikila, mtikila kufuatwa na waandishi akabaki analamba midomo tu
Unganisha dot sasa umjue Rostam azizi ni nani ...kwanini kila engo ya maovu yupo... kuanzia nyara ..mbuga madini ufisadi wote yupo
 
Rist

Rostam babu zake walianza biashara tabora zaidi ya miaka 150 iliyopita,kampuni yake Caspian watu wa tabora tunaijua tangu 90 kweusi
Anza kujenga generational wealth leo Ili wajukuu zako wasichukie wenye nacho
 
WEWE WASEMA
 
Attachments

  • Screenshot_20230930-090520_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090520_Samsung Internet.jpg
    200.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    194.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    190.1 KB · Views: 8

Attachments

  • Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    190.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    194.5 KB · Views: 4

Back
Top Bottom