Apedomia, Unyani wa kuuza Tanganyika kwa Tende na Harua. RIP MCH. MTIKILA

Tujikumbishe.


Akina Kabudi, et al ambao ni watanganyika, TANGANYIKA inauzwa na wazanzibari. Kabudi and Co. Ltd wanafurahi kwa vile wanapata Tende na Harua!

Nakililia Tanganyika yangu

RIP Mchungaji Mtikila
mzee aliona mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…