Watu wana mambo? Hivi mimi nikatoe pesa zangu kisa naenda kushuhidia Zari anavikwa pete na Diamond!
Labda hizo pesa ziwe hazina kazi na mimi pia niwe sina kazi.
Najitolea kukulipia kiingilio siku hiyo, worry not
Z zD. Zzz-&&lkl
Khaaaaa! Shoga nawe leo umetoa mpya!
Kwani huyo hua ni shost??
Khaaaaa! Shoga nawe leo umetoa mpya!
Hahahahahahahaaaaaa yaani mi mwenyewe cjaelewa kabisaaa nimeandika nn ila niligundua ni cm yenyewe ndo imefanya ivo,nilikuwa natumia cm afu ikawa inajibonyeza bila mi kujua, sorry 4 any inconvinience...
Sina shida ya kiingilio hata nikitaka VIP nitafanya hivyo.Tatizo ni naenda kufanya nini?
Sina shida ya kiingilio hata nikitaka VIP nitafanya hivyo.Tatizo ni naenda kufanya nini?
loveleen kakujibu vyema kabisa iyo ndio maana halisi ya neno "Kishkwambi "
Kwa kuongeza tu ni kwamba siku zote;
Lugha husharabu kwa maana ya kwamba huchukua maneno kutoka Lugha nyingine ili kujiongeza zaidi.
Ivyo basi Neno "Kishkwambi" lina maanisha kijanja zaidi au kisasa zaidi utakuta mtu anasema yaani ####Kishkwambi flani ivi amaizing####
Neno KISHKWAMBI hupenda sana kutumiwa na waganda na ata Zari hupenda saana kulitumia naeza sema yeye ndie amelipa kik sana ili neno ama huu msamiati
Hili neno KISHKWAMBI limetokana na neno SHIKWAMBI baada ya kutohoa likimaanisha kijanja zaidi au kisela zaidi ivyo yani......ama neneeee
natumai umenielewa ndugu pamoja saana
Gatchyou luvies!
Shoga KISHKWAMBI manake Kuishi Kwa Mbinu. Wewe Zari unamuonaje?
Anaishi kwa mbinu ama nini?..lol
Jiongeze hapo.
Kwani msiposhadadia ndoa iyo white party (haitapata wahidhuriaji au?)😉😉😎
Nani kasema haitapata! Unaumwa macho au.
Hii kiki imegoma....
Licha ya kuwa fan wake ila dah kuna vitu vyenye najiulizaga hata sipati majibu!
Wanawake warembo wana raha sana aiseee. Urembo wao unawabariki mno
Hahahaaa,wewe sio mzima!
Halafu?
A na B yote sawa