Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
af wewe!
sio bure kuna mdomo wa mtu hapo!
hivi hapa na snowhite mnaongelea nini?
jamani mi ndo nakula hapa ugali wa dona,biringanya za kukaanga na kachumbari.karibuniii
mahitaji biringanya kama 4,chumvi,pilipili iliyotangwa pamoja na kitunguu swaumu
jinsi ya kuandaa:katakata mabiringanya slices
ndogondogo kisha weka kwenye bakuli uliloweka chumvi
changanya,kisha washa jika weka mafuta size kama vile unakaanga samaki au maandazi kisha mafuta yakipata moto weka biringanya kaanga mpaka zikiwa za brown kisha ipua weka kwenye chujio la nazi ili uchuje mafuta kisha chukua pilipili kidogo uliyotwanga changanya na ndimu kisha mwagia juu ya biringanya
Save mezani utalia na ugali na mboga yoyote,wali,pilau(hapa inanoga zaidi ) ↲
cc snowhite gfsonwin shansarie Mamndenyi Zahra White Madame B Kijino Heaven on earth charminglady YNNAH arabella Kaizer watu8 mimi49 Paloma ladyfurahia mimisa ladydoctor @
daah .... jumapili ntapika tena ....