Pekee ambae ameweza kupambana na CCM ni maalim Seif.
Mpaka anaondoka ktk dunia Maalim amekuwa makamo wa Rais na kukiacha chama chake kikikuwa sehemu ya serekali.
Hii imetokea baada ya maalim kukubalika Pemba 98% karibu uhai wake wote. Na kukubalika Unguja angalau 70%.
Haikuwa kazi rahisi hata kidogo. Zimepita miafaka mingi, katembea Ulaya, UNO, Oman na karibu dunia nzima.
Watu wameingia barabarani kushindikiza na watu wamepoteza mali, uhai na wengine maslahi yao. Harakati zote hizo wameangukia robo mkate
Sasa najiuliza kwa LISSU
Vipi atapambana na CCM hadi angalau kuingia katika serekali ya kitaifa ( NUSU MKATE)
Nauliza hivi kwa sababu. Lissu
1. Haamini maridhiano
2. Ndani ya chama chake hali unaiona
3. Tanzania Bara raia siasa woga, yaani bado awareness ktk siasa haipo.
4. UNO, ULAYA hana ushawishi kiasi hicho
5. Ndani ya CCM hana ushawishi
SASA MBINU GANI ATATUMIA? au kupaza sauti?
Kupaza sauti kutasaidia? Kama kupaza sauti kunasaidia kwanini hadi leo uchunguzi tu kesi yake haujatolewa
SASA ATAPAMBANA NA CCM KWA NJIA IPI?