Pre GE2025 Apewe Lissu atapambana na CCM? Kwa njia ipi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi sitegemei serikali kuendesha maisha mzee. Pole sana kwa utegemezi kumbe ndiyomaana mliomba serikali iwanunulie kifaa cha kuangalia mwezi
Serekali huwezi kueupuka kuendesha yako, labda uishi ktk mwezi. Kuomba serekali kununua kifaa cha kuangalia mwezi hamna tatizo, sawa na kuomba kusaidiwa ujenzi wa kanisa
 
Serekali huwezi kueupuka kuendesha yako, labda uishi ktk mwezi. Kuomba serekali kununua kifaa cha kuangalia mwezi hamna tatizo, sawa na kuomba kusaidiwa ujenzi wa kanisa
Kifaa cha milioni 5 unalinganisha na kanisa la bilioni 5?
 
Kama Lıssu hatafanya lolote, yanini kumjadili.

Mtu hata haja chaguliwa, watu wanaonesha kumhofia.

Hicho wanachoogopa kutokea ndiyo uwezo wenyewe.

Mwacheni aongoze muone watu watalala au watachangamka.
 
Maalim Seif alipambana nao kwa lipi wakati nayeye alikuwa TISS mwaminifu?
Acha propaganda za kishamba wewe! Maalim Seif ndio mwanasiasa wa upinzani bora kabisa kutokea kwenye jamuhuri hii ya muungano. Ndio mwanasiasa ambaye aliwahi kupambana na Mwalimu nyerere. Ref kesi ya uhaini iliyokuwa ikiwakabili yeye na Ahmad Rashid.
Seif kilichomponza zaidi ni kutishia kuitisha kura ya maoni kama zanzibar ibaki kwenye muungano ana la.
Seif wa baada vyama vingi hajawahi kuwa serekalini kwa namna yoyote mpaka walipopitisha katiba mpya. Iliyomfanya kuwa makamu wa kwanza wa rais
 

Maalim Seif ndie mtu alieivuuruga zaidi CCM akiwa ndani ya CCM. Ndie mtu pekee aliekua akimlalisha Nyerere na viatu, Jamaa Ni GOAT
 
CCM wameharibu fahamu zenu. Maalim ni alikuwa Mbowe wa Zenji
 
A
Anategemea kuandamana tu siyo maridhiano
 
Malaria 2 hebu tulia kwanza chadema ifanye mabadiliko ya ki uongozi ndio uje na abrakadabra zako.
 
Kitu nimejifunza, hawa wataalam wa sheria kielimu sio wanasiasa wazuri. Ukilinganisha Maalim Seif na Othman Masoud.

Utagundua Masoud hana mvuto, ingawa anaifahamu sheria,na sio mwanasiasa mzuri.

Ukimuangalia Lisu, ni mjuzi wa sheria na anamvuto lakini sio mwanasiasa mzuri.

Babu Duni na Maalim ni wanasiasa wazuri sana lakini hawakusoma sheria.

Lisu hata akishinda urais anaweza kumaliza miaka mitano yuko mahakamani hajatumikia nafasi yake ya urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…