Apewe maua yake kama ni zawadi Tanzania tumepewa Maxence Melo, kwa upande wa platform ya Habari mtandao

Nina muda sijaandika nikiwa nimetulia leo naandika, nimewaza sana nikatafakari sana kwa siku Tatu zaidi, angekuwa mtu asiye kuwa na msimamo angeshaweka Mpira kati,

Watu aina ya Maxence Melo utafutwa ama wawe blackmailed au wahongwe au watishwe! Lakin njia zote tatu kaweza kuzikwepa na kuendelea na msimamo ule ule

Wale members wa Mwaka 2006 hadi 2025 na kipindi cha Jambo forums wanajua kwamba hapa wote viongozi wamekuwa na account zao hapa wawe wa Upinzani au Chama tawala wengi sana wanakumbuka,

Hapa watu wamekuwa marais , Mawaziri , wabunge na hapa ndo platform pekee ambayo Afrika iko huru kwa kutoa Habari na to be the first to know !

Niliijulia Wapi JamiiForums! Nilipewa Task kuwapa semina wafanyakazi wa TTCL branch fulan Mwaka Fulan huko nyuma !

Branch manager wa pale kila wakati alikuwa ananiambia aisee hii forums! Hapo kina mramba yona na Kikwete wakipanga mambo ya majenereta hukoo kutupiga watanzania,

Pili suala la Richmond nalo lilijadiliwa kwa kina hapa , hadi Bungeni wakawa wanatumia JamiiForums Kama reference!

Kulikuwa na mijadala ya Elimu nakumbuka akina MUKANDARA, KITILA, KASHAIJA BUTEGE, BALINA BAMBONAHI, na wengine wengi,

Nimechunguza nchi nyingi Afrika hawana forums kama yetu na wanapata maoni Yao YouTube ! Facebook au Twitter, hawana specific forum Kama yetu Tanzania ! Kongolee kwa hilo

Ninakutana sana na watu ambao wana wamepata msaada JamiiForums , watu ambao wamepata connection, wengine wamekuja kupoteza mawazo kwa kusoma Hoja na Habari mbali mbali , Wengine wana sema wamepata msaada wa moja kwa moja kutoka JamiiForums kisheria kimsaada kimatibabu kwa ushauri na wengine kifedha moja kwa moja kutoka kwa wasamaria wema hapa JF , na wengi wakisaidiwa moja kwa moja na Mello mwenyewe ama wadau wengine ,

Wanachomsifu bwana Mello si mtu wa kusaidia jambo akatangaza au akajisifia (Utadhani so Muhaya) 😊 !

Kuna waziri mmoja atakuwa anasoma huu ujumbe alikiri kusaidiwa na Mello kwenye suala fulan nyeti ambalo si vema kuliweka wazi najua na mello anapita ataona! Kuwa anapewa sifa!

Jana katika kupitia kwenye makundi fulan Fulani ya maafisa usalama Nimeona clip ya Mello inasambaa huko na wanajadili kwamba “hivi simu Alipiga Nani simu atakuwa Alipiga Nani” nilichogundua hata Askari Wengine nao wanakuwa wanafanya kwa kufuata order tu !

Mello namuweka viwango sawa na akina

Mark Zuckerberg mwanzilishi wa Facebook, aliyoianzisha Mwaka 2004 wakati akiwa Harvard University. Mwanzoni aliinzisha akaiita "Thefacebook" as a social networking site exclusively for Harvard students. Yaan ilikuwa ikiwahudumia wanafunzi tu vile vile Kama mello alianza ikiitwa Jamboforums ,

Tuendelee
Namshauri Mello kwa kuwa JamiiForums imesambaa Tanzania Uganda na Kenya and somehow Burundi na Rwanda !

Ni ombi maalumu hii platform iwakomboe Afrika nzima

Anza Jamiiforums tour kila nchi anza na South African, Nigeria , Cameroon, Na nchi kubwa kubwa pata connection na wana Habari wa kule anzisha branch kule zenye lugha ya kule , watu watakuwa interested ikiwa na speed Kama ile Jamii forums ya 2006-2019 yaan waafrika wengi wanataka pa kusememea hawana ! We can create our giant platform all over Africa !

Najua inawezekana sana inawezekana kabisa ! Naamini inawezekana

MWISHO KABISA USIKATE TAMAA HATA KIDOGO UMETUFUNGULIA JAMBO AMBALO UKOMBOZI

Britanicca
Akikamwata ukapaelekwa Magereza utajitokeza hata Mahakamani? I hate sana u keybord worrior
 
Hongera sana kwa founders, kwa kweli wanafanya kazi "hatarishi" maana nchi za Afrika ukiwa tofauti na watawala au ukiruhusu mijadala huru inayowapiga watawala ni lazima wakuangushe, wakuumize au wakupoteze kabisa. Watawala wamekuwa waroho, walafi, wabinafsi na mbaya zaidi wauwaji.
 
Kwa kweli apewe heshima yake. Ila wahuni hawalioni hilo. Wao furaha yao ni kunywa damu za wasio na hatia.
 
Nina muda sijaandika nikiwa nimetulia leo naandika, nimewaza sana nikatafakari sana kwa siku Tatu zaidi, angekuwa mtu asiye kuwa na msimamo angeshaweka Mpira kati,

Watu aina ya Maxence Melo utafutwa ama wawe blackmailed au wahongwe au watishwe! Lakin njia zote tatu kaweza kuzikwepa na kuendelea na msimamo ule ule

Wale members wa Mwaka 2006 hadi 2025 na kipindi cha Jambo forums wanajua kwamba hapa wote viongozi wamekuwa na account zao hapa wawe wa Upinzani au Chama tawala wengi sana wanakumbuka,

Hapa watu wamekuwa marais , Mawaziri , wabunge na hapa ndo platform pekee ambayo Afrika iko huru kwa kutoa Habari na to be the first to know !

Niliijulia Wapi JamiiForums! Nilipewa Task kuwapa semina wafanyakazi wa TTCL branch fulan Mwaka Fulan huko nyuma !

Branch manager wa pale kila wakati alikuwa ananiambia aisee hii forums! Hapo kina mramba yona na Kikwete wakipanga mambo ya majenereta hukoo kutupiga watanzania,

Pili suala la Richmond nalo lilijadiliwa kwa kina hapa , hadi Bungeni wakawa wanatumia JamiiForums Kama reference!

Kulikuwa na mijadala ya Elimu nakumbuka akina MUKANDARA, KITILA, KASHAIJA BUTEGE, BALINA BAMBONAHI, na wengine wengi,

Nimechunguza nchi nyingi Afrika hawana forums kama yetu na wanapata maoni Yao YouTube ! Facebook au Twitter, hawana specific forum Kama yetu Tanzania ! Kongolee kwa hilo

Ninakutana sana na watu ambao wana wamepata msaada JamiiForums , watu ambao wamepata connection, wengine wamekuja kupoteza mawazo kwa kusoma Hoja na Habari mbali mbali , Wengine wana sema wamepata msaada wa moja kwa moja kutoka JamiiForums kisheria kimsaada kimatibabu kwa ushauri na wengine kifedha moja kwa moja kutoka kwa wasamaria wema hapa JF , na wengi wakisaidiwa moja kwa moja na Mello mwenyewe ama wadau wengine ,

Wanachomsifu bwana Mello si mtu wa kusaidia jambo akatangaza au akajisifia (Utadhani so Muhaya) 😊 !

Kuna waziri mmoja atakuwa anasoma huu ujumbe alikiri kusaidiwa na Mello kwenye suala fulan nyeti ambalo si vema kuliweka wazi najua na mello anapita ataona! Kuwa anapewa sifa!

Jana katika kupitia kwenye makundi fulan Fulani ya maafisa usalama Nimeona clip ya Mello inasambaa huko na wanajadili kwamba “hivi simu Alipiga Nani simu atakuwa Alipiga Nani” nilichogundua hata Askari Wengine nao wanakuwa wanafanya kwa kufuata order tu !

Mello namuweka viwango sawa na akina

Mark Zuckerberg mwanzilishi wa Facebook, aliyoianzisha Mwaka 2004 wakati akiwa Harvard University. Mwanzoni aliinzisha akaiita "Thefacebook" as a social networking site exclusively for Harvard students. Yaan ilikuwa ikiwahudumia wanafunzi tu vile vile Kama mello alianza ikiitwa Jamboforums ,

Tuendelee
Namshauri Mello kwa kuwa JamiiForums imesambaa Tanzania Uganda na Kenya and somehow Burundi na Rwanda !

Ni ombi maalumu hii platform iwakomboe Afrika nzima

Anza Jamiiforums tour kila nchi anza na South African, Nigeria , Cameroon, Na nchi kubwa kubwa pata connection na wana Habari wa kule anzisha branch kule zenye lugha ya kule , watu watakuwa interested ikiwa na speed Kama ile Jamii forums ya 2006-2019 yaan waafrika wengi wanataka pa kusememea hawana ! We can create our giant platform all over Africa !

Najua inawezekana sana inawezekana kabisa ! Naamini inawezekana

MWISHO KABISA USIKATE TAMAA HATA KIDOGO UMETUFUNGULIA JAMBO AMBALO UKOMBOZI

Britanicca
WAISLAMU WAZALENDO WAPO WAPI ? HAKUNA HATA MMOJA ....AU WAPO MASJID KAZI YAO NI KUBINUA NA KUSHUSHA CHINI KIJAMBIO TU ...NILIWAAMBIA WATU KUWA HAKUNA MUISLAMU MZALENDO TANZANIA NA SABABU NILIZITAJA...WAISLAMU NANATUHALIBIA NCHI WAKIWA KWENYE UONGOZI NI KOSA KUBWA SANA KUWAPA UONGOZI HAWA VIUMBE adriz The Consigliere FaizaFoxy Covax The ice breaker Jagina Mufti kuku The Infinity
 
Anastahili pongezi wakimsumbua sana ahamishie HQ Kenya kama Benjamin Fernandez mpaka siku wapuuzi wakiisha kwenye serikali ndio arudi.

Imagine mwaka jana waziri wa habari na mawasiliano anasimama kabisa mbele ya kadamnasi baada ya kuulizwa kwanini hawajaruhusu huduma ya internet ya Starlink anajibu tu kirahisi kuwa moja ya kigezo kikuu ni walitakiwa wawe na ofisi zao hapo hapo Tanzania na wakawawekea masharti ya kipuuzi yote ni kufifisha na kufanya watu wasipate huduma hiyo jibu ni jepesi tunajua Kabendera alichofanyiwa na Lissu unafikiri kwa kampuni kama Starlink isingeweza kukubali kufanya vile.

Hao wanataka mtu akiwakosoa wafike ofisini kama walivyoingia huku Mello anawaona kwenye CCTV , wavamie wapewe data wamsake wampoteze sasa kampuni zenye standard za kimataifa haziwezi kufanya kosa la kutoa data za mtu kirahisi tu bila hati ya mahakama maana ni jambo nyeti sana .

Na ndio hao hao watekaji walivamia kwa dada yake Polepole siku ya kwanza anataka kuongea wakiamini yuko pale kumbe yeye hayuko pale bali ndio anawaona pia kwenye CCTV za pale nyumbani halafu baada ya hapo kina Muliro wamejikausha kama hakikutokea kitu.
 
Nina muda sijaandika nikiwa nimetulia leo naandika, nimewaza sana nikatafakari sana kwa siku Tatu zaidi, angekuwa mtu asiye kuwa na msimamo angeshaweka Mpira kati,

Watu aina ya Maxence Melo utafutwa ama wawe blackmailed au wahongwe au watishwe! Lakin njia zote tatu kaweza kuzikwepa na kuendelea na msimamo ule ule

Wale members wa Mwaka 2006 hadi 2025 na kipindi cha Jambo forums wanajua kwamba hapa wote viongozi wamekuwa na account zao hapa wawe wa Upinzani au Chama tawala wengi sana wanakumbuka,

Hapa watu wamekuwa marais , Mawaziri , wabunge na hapa ndo platform pekee ambayo Afrika iko huru kwa kutoa Habari na to be the first to know !

Niliijulia Wapi JamiiForums! Nilipewa Task kuwapa semina wafanyakazi wa TTCL branch fulan Mwaka Fulan huko nyuma !

Branch manager wa pale kila wakati alikuwa ananiambia aisee hii forums! Hapo kina mramba yona na Kikwete wakipanga mambo ya majenereta hukoo kutupiga watanzania,

Pili suala la Richmond nalo lilijadiliwa kwa kina hapa , hadi Bungeni wakawa wanatumia JamiiForums Kama reference!

Kulikuwa na mijadala ya Elimu nakumbuka akina MUKANDARA, KITILA, KASHAIJA BUTEGE, BALINA BAMBONAHI, na wengine wengi,

Nimechunguza nchi nyingi Afrika hawana forums kama yetu na wanapata maoni Yao YouTube ! Facebook au Twitter, hawana specific forum Kama yetu Tanzania ! Kongolee kwa hilo

Ninakutana sana na watu ambao wana wamepata msaada JamiiForums , watu ambao wamepata connection, wengine wamekuja kupoteza mawazo kwa kusoma Hoja na Habari mbali mbali , Wengine wana sema wamepata msaada wa moja kwa moja kutoka JamiiForums kisheria kimsaada kimatibabu kwa ushauri na wengine kifedha moja kwa moja kutoka kwa wasamaria wema hapa JF , na wengi wakisaidiwa moja kwa moja na Mello mwenyewe ama wadau wengine ,

Wanachomsifu bwana Mello si mtu wa kusaidia jambo akatangaza au akajisifia (Utadhani so Muhaya) 😊 !

Kuna waziri mmoja atakuwa anasoma huu ujumbe alikiri kusaidiwa na Mello kwenye suala fulan nyeti ambalo si vema kuliweka wazi najua na mello anapita ataona! Kuwa anapewa sifa!

Jana katika kupitia kwenye makundi fulan Fulani ya maafisa usalama Nimeona clip ya Mello inasambaa huko na wanajadili kwamba “hivi simu Alipiga Nani simu atakuwa Alipiga Nani” nilichogundua hata Askari Wengine nao wanakuwa wanafanya kwa kufuata order tu !

Mello namuweka viwango sawa na akina

Mark Zuckerberg mwanzilishi wa Facebook, aliyoianzisha Mwaka 2004 wakati akiwa Harvard University. Mwanzoni aliinzisha akaiita "Thefacebook" as a social networking site exclusively for Harvard students. Yaan ilikuwa ikiwahudumia wanafunzi tu vile vile Kama mello alianza ikiitwa Jamboforums ,

Tuendelee
Namshauri Mello kwa kuwa JamiiForums imesambaa Tanzania Uganda na Kenya and somehow Burundi na Rwanda !

Ni ombi maalumu hii platform iwakomboe Afrika nzima

Anza Jamiiforums tour kila nchi anza na South African, Nigeria , Cameroon, Na nchi kubwa kubwa pata connection na wana Habari wa kule anzisha branch kule zenye lugha ya kule , watu watakuwa interested ikiwa na speed Kama ile Jamii forums ya 2006-2019 yaan waafrika wengi wanataka pa kusememea hawana ! We can create our giant platform all over Africa !

Najua inawezekana sana inawezekana kabisa ! Naamini inawezekana

MWISHO KABISA USIKATE TAMAA HATA KIDOGO UMETUFUNGULIA JAMBO AMBALO UKOMBOZI

Britanicca
Anza Jamiiforums tour kila nchi anza na South African, Nigeria , Cameroon, Na nchi kubwa kubwa pata connection na wana Habari wa kule anzisha branch kule zenye lugha ya kule , watu watakuwa interested ikiwa na speed Kama ile Jamii forums ya 2006-2019 yaan waafrika wengi wanataka pa kusememea hawana ! We can create our giant platform all over Africa !
 
Nina muda sijaandika nikiwa nimetulia leo naandika, nimewaza sana nikatafakari sana kwa siku Tatu zaidi, angekuwa mtu asiye kuwa na msimamo angeshaweka Mpira kati,

Watu aina ya Maxence Melo utafutwa ama wawe blackmailed au wahongwe au watishwe! Lakin njia zote tatu kaweza kuzikwepa na kuendelea na msimamo ule ule

Wale members wa Mwaka 2006 hadi 2025 na kipindi cha Jambo forums wanajua kwamba hapa wote viongozi wamekuwa na account zao hapa wawe wa Upinzani au Chama tawala wengi sana wanakumbuka,

Hapa watu wamekuwa marais , Mawaziri , wabunge na hapa ndo platform pekee ambayo Afrika iko huru kwa kutoa Habari na to be the first to know !

Niliijulia Wapi JamiiForums! Nilipewa Task kuwapa semina wafanyakazi wa TTCL branch fulan Mwaka Fulan huko nyuma !

Branch manager wa pale kila wakati alikuwa ananiambia aisee hii forums! Hapo kina mramba yona na Kikwete wakipanga mambo ya majenereta hukoo kutupiga watanzania,

Pili suala la Richmond nalo lilijadiliwa kwa kina hapa , hadi Bungeni wakawa wanatumia JamiiForums Kama reference!

Kulikuwa na mijadala ya Elimu nakumbuka akina MUKANDARA, KITILA, KASHAIJA BUTEGE, BALINA BAMBONAHI, na wengine wengi,

Nimechunguza nchi nyingi Afrika hawana forums kama yetu na wanapata maoni Yao YouTube ! Facebook au Twitter, hawana specific forum Kama yetu Tanzania ! Kongolee kwa hilo

Ninakutana sana na watu ambao wana wamepata msaada JamiiForums , watu ambao wamepata connection, wengine wamekuja kupoteza mawazo kwa kusoma Hoja na Habari mbali mbali , Wengine wana sema wamepata msaada wa moja kwa moja kutoka JamiiForums kisheria kimsaada kimatibabu kwa ushauri na wengine kifedha moja kwa moja kutoka kwa wasamaria wema hapa JF , na wengi wakisaidiwa moja kwa moja na Mello mwenyewe ama wadau wengine ,

Wanachomsifu bwana Mello si mtu wa kusaidia jambo akatangaza au akajisifia (Utadhani so Muhaya) 😊 !

Kuna waziri mmoja atakuwa anasoma huu ujumbe alikiri kusaidiwa na Mello kwenye suala fulan nyeti ambalo si vema kuliweka wazi najua na mello anapita ataona! Kuwa anapewa sifa!

Jana katika kupitia kwenye makundi fulan Fulani ya maafisa usalama Nimeona clip ya Mello inasambaa huko na wanajadili kwamba “hivi simu Alipiga Nani simu atakuwa Alipiga Nani” nilichogundua hata Askari Wengine nao wanakuwa wanafanya kwa kufuata order tu !

Mello namuweka viwango sawa na akina

Mark Zuckerberg mwanzilishi wa Facebook, aliyoianzisha Mwaka 2004 wakati akiwa Harvard University. Mwanzoni aliinzisha akaiita "Thefacebook" as a social networking site exclusively for Harvard students. Yaan ilikuwa ikiwahudumia wanafunzi tu vile vile Kama mello alianza ikiitwa Jamboforums ,

Tuendelee
Namshauri Mello kwa kuwa JamiiForums imesambaa Tanzania Uganda na Kenya and somehow Burundi na Rwanda !

Ni ombi maalumu hii platform iwakomboe Afrika nzima

Anza Jamiiforums tour kila nchi anza na South African, Nigeria , Cameroon, Na nchi kubwa kubwa pata connection na wana Habari wa kule anzisha branch kule zenye lugha ya kule , watu watakuwa interested ikiwa na speed Kama ile Jamii forums ya 2006-2019 yaan waafrika wengi wanataka pa kusememea hawana ! We can create our giant platform all over Africa !

Najua inawezekana sana inawezekana kabisa ! Naamini inawezekana

MWISHO KABISA USIKATE TAMAA HATA KIDOGO UMETUFUNGULIA JAMBO AMBALO UKOMBOZI

Britanicca
Kwakweli tunajivunia our own Zuckerberg if not Elon musk 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹
 
Hongera sana mkuu Maxence Melo binafsi nilipata wasaa wakukupongeza ana Kwa ana pale kanisani parokia ya Mt xavery Chang'ombe kwenye Misa ya mazishi ya mama yake kabendera.
Mungu akubariki
 
Kosa la mello hapo ni nini?
Kwa watawala, kosa ni kuweka jukwaa huru kwa ajili ya mojadala inayoigusa serikali. Unakumbuka mama Abdullah alivyosemwa juzi kati hapa...issue ya zile picha pale "oval house", na Mello hakufanya moderation, akatuacha tukaongea hadi mwisho...

Watawala hawapendi!!
 
Back
Top Bottom