APHFTA: Tumesikitishwa na Aga Khan kusitisha huduma ya NHIF, Taasisi nyingi za Afya zinaweza kusitisha pia

Hawa Aga Khani wamepatwa na nini? Hii taasisi ni kubwa na yenye mapesa tele sijui nini kimewakumba. Na kile chuo kikuu kikubwa zaidi Africa Mashariki na Kati walichokuwa wanataka kujenga Arusha kiiishia wapi? Najua Magufuli aliwavuruga sana na hasa hakuwa anapenda chochote cha maana kijengwe maeneo ya Arusha.
 
Kipindi cha nyuma kuwa na bima ya NHIF katika kituo chako ilikuwa dili, leo hii ni sumu, wanakaa mpaka miezi 5 hawalipi, na wakilipa wanalipa kidogo, ushenzi tu
 
Hii bima ya afya ni wahuni sana na ilianzishwa kihuni sana! Mkapa alikuwa anakwepa kutibu watumishi wa uma! Jinga kabisa!
 
Huna akili, NHIF watumishi wanakatwa kwenye mishahara yao na mfuko ni wa serikali.

Hao AAR wanakufata hata kwa helicopter kama ni dharura na unaweza kupelekwa kutibiwa nchi yoyote kwa gharama za bima yao.
Wanakufata kwa vifurushi vya elfu hamsini mpaka laki na 80 kama NHIF? Nadhani wewe ndiye unahitaji ujitafakari zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…