menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Nimerudi kwenu wana jamvi nikitaka nasaha zenu siku moja rafiki yangu ambaye kwa hakika ni muislamu haswa na anaamini mpaka aoe ndo atakuja anza kucheza mechi na hata musterbation hafanyi so juz alicheki picture ya X na hapohapo akapiga goli je kuna mathara yoyote?