Apigae Hodi ..............?

Apigae Hodi ..............?

Nyama Choma

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
5
Reaction score
2
Hodi humu ndani wajameni...
Ni mimi ndugu yenu Nyama Choma naomba kwa heshima na taadhima mnikarishe ndani niweze kushiriki nanyi katika ujenzi wa taifa letu changa sijui litakuwa kubwa lini?
Nikaribisheni jamaniiiii!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom