Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Asulubiwe sioPK ndio anafadhili M23. Hilo lipo wazi. Sasa inafaa anyoooshwe bila huruma
Pk anajiamini sana bila shaka kuna watu nyuma yake anaowategemeaYule mnyarwanda ana chokochoko sana
Nani handsome sasa Kagame au JK?Ila ni handsome kweli. Huwa namhusudu sometimes
Wanaomsifia hata hawajui hilo. Kwanza watutsi wenzake tu wanampinga. Bado kuna wahutu hajamalizana nao ambao wananyanyapaliwa na watutsi serikalini wanasubiri tu chance wamalize mchezo. Ile nchi haina amani kabisa ila ina utulivu wa muda tu. Na watutsi wanajua siku wahutu wakiwa kwenye power wanajua nini kitawapata."" Nchi ikishakuwa inamaadui wake binafsi wengi, hao hao maadui wake ndiyo watakuwa mstari wa mbele kupigana kurejea makwao""
#TIME SHALL TELL!
Mzuri balaaIla ni handsome kweli. Huwa namhusudu sometimes
ApigweeePk anajiamini sana bila shaka kuna watu nyuma yake anaowategemea
Umalaya tuIla ni handsome kweli. Huwa namhusudu sometimes
Acha umalaya mzee yule miaka 75Ila ni handsome kweli. Huwa namhusudu sometimes
Yule kiongozi bana ..... syo hawa kutwa wako na wasanii ambao ndy washauri wahooPk ana akili sana nataman awe raisi wa tz. Kama pk angekuwa ni rais wa tz tungekuwa mbali sana. Ndo ivo tena penye miti hakuna wajenzi. Jiulize viongozi wetu wangekuwa ndio viongozi wa rwanda, rwanda ingepiga hatua? Wangekuwa wanalialia tu eti sisi ni maskini tunaomba msaada huku wamekalia dhahabu. Kagame ni superman hakuna kama yeye afrika nzima.