Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Wanajeshi wa TZ na SA wamekufa Congo sasa ni ama sisi ama PK na tunajua anafadhili M23. Hilo lipo wazi. Sasa inafaa anyoooshwe bila huruma kwa kupigwa ardhini, Rwandair na kumrudisha Balozi na wahamiaji haramu huku kwao.