Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Nataka kujifunza lugha za kigeni. Kiingereza na Kichina. Kuna app ambayo inafundisha lugha za kigeni kwa waliozaliwa wakiongea kiswahili?
Naona watu wengi wanajifunza lugha kupitia hizi app.
Naona watu wengi wanajifunza lugha kupitia hizi app.