Duolingo....
Nilitumia kujifunzia Kichina na Kijapan cha kuombea maji vizuri tu....Kuna channels pia Tiktok na YouTube ni nzuri sana!
AI pia kwa sasa inasaidia. Ukitenga masaa mawili kwa siku miezi sita utakuwa umeanza kuona mwanga safi kama una kipaji cha lugha!