App gani inaweza kupakua kitambulisho cha taifa?

App gani inaweza kupakua kitambulisho cha taifa?

shida anajiamini sana unaweza kurogwa asubuhi tu vibinyio unaamka havipo...🤣
😁😁
Mie namsaidia bure kabisa mkuu. Sihitaji hata 100 mbovu.

Yeye aje tu Pm na taarifa zake.
 
Acha utoto aisee. Unadownload vipi kitambulisho cha taifa? Unataka kukitumia kusajilo laini ili utapeli watu?
 
Acha utoto aisee. Unadownload vipi kitambulisho cha taifa? Unataka kukitumia kusajilo laini ili utapeli watu?
Elimu yako ndogo sana mkuu usiniquote kijinga hivyo..
Ili usajili laini lazima ipite Biometrically..
Waulize watu wa IT pembeni yako kabla hujacomment
 
Back
Top Bottom