App gani inaweza kupakua kitambulisho cha taifa?

Du ulivyoweka tube tu tayari ni stream ya video!!
Ok thanks kwa mchango mkuu
Hapo tube ime present kama tube ya mpira ukifatilia hata material ya kutengenezea kitambulisho inatokana na mpira.. rabber au tube...
 
Du kumbe kitambulisho cha taifa kinapakuliwa,sijui kimeanza lini hii tabia mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…