loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
All stúpid question ask google - by Jose Mourincho.Wakuu kwema,naomba munikumbushe jina la ile app ambayo alipost mdau mmoja humu kuwa ukiiambia chochote inakujibu.
Shukrani sana mkuu,nimeisachi sana ule uzi humu nipate hili jina bila mafanikio,nikaamua nije kwenu,shukrani saana.thread closed.Chat gpt
😂😂😂 Poa mkuuAll stúpid question ask google - by Jose Mourincho.
Hii inasababisha watu kukosa kufikili kwa kina, siku hizi hata barua za kawaida tu unauliza Chat GPT, wanafunzi tena ndiyo kabisa hakuna kusoma vitabu ni mwendo wa Chat GPT tu.Chat gpt