App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

Nani anajua apk inayoweza ku project vitu vya kwenye simu ukutani anisaidie, sio kwenye smart device kama tv hapana nataka ukutani, nilimuona mtu anayo sema nikajua nitaipata playstore ila nimeshindwa

Simu ita project vipi ukutani? Kuna kifaa kinaongezewa kwenye simu?
 
Back
Top Bottom