Je, wewe ni Bw. / Bi. harusi mtarajiwa una sherehe yoyote inayohusisha michango?
Je, unahitaji kuandaa kadi za kielekitroniki #ecard #electronic Card zenye majina na QR codes kwa ajiri ya uthibitisho (verification).
Tunayo application itakayoweza kukusaidia kuandaa hivyo vyote.
Application hii inapatikana kwenye mfumo wa PWA ambao unaweza kuutumia kwenye simu, tablet au PC.
This card was generated by RedPoint - App ya Sherehe app.
Karibu @redpointtz kwa maandalizi ya sherehe yako.
Jaribu Ku scan kadi hii ili kupata picha kamili.
App hii itakuwezesha kuanda vifuatavyo
✅ Orodha ya waalikwa
✅ Ahadi na Malipo yake
✅ Kukumbusha michango kwa sms
✅ Kuandaa e-Card
✅ Kuscan na kujua kadi ni ya SINGLE au DOUBLE
✅ Kukagua kadi siku ya Sherehe
✅ Bonus: Bajeti ya Sherehe yako.
Yaani we fungua hii www.redpoint.co.tz