Mkuu kwenye hii new app wapi ninapo subscribe thread ili niweze kuzipata kwa urahisi kama ilivyo kwa application ya kawaida[emoji116][emoji116]
 
Nimejaribu kutafuta ilipo setting katika app mpya ya JamiiForums sijaiona. Naomba kuelekezwa inapatikana wapi?
 
Nimejaribu kutafuta ilipo setting katika app mpya ya JamiiForums sijaiona. Naomba kuelekezwa inapatikana wapi?
Bonyeza kapicha ka profile hapo juu kushoto kwa alama ya"messages".
 
App mbaya! Haisapoti front style kama ile ya zamani.

Halafu haifunguki bila browser, sasa hii ni nini? Nimefuta,nimerudi kwenye ile ya zamani

Aaagh...!!
 
Tena bila browser haifunguki
 
Sante
 
App mpya ngumuuuu,huwezi amini nimeshindwa hata ku-coment nimerudi huku ya zamani
 

Je ni Oficial na popote inapatikamn? Natumia mackbook na nipo nje ya nchi ila nilipojarib niliambiwa haipatikan kw sehem nilipo
 
Nimeitumia ipo vizuri Mkuu hata mtandao ukiwa chini yenyewe haiteteleki kama hii ya kupitia goggle meseji unatuma kama kawaida big up kamanda kwa ubunifu ulio bora zaidi...
 
Wakuu habari ya Kutwa, Ebu nielekezeni Jinsi ya ku-update apps Yenu kila nikijaribu hainipi option,
 
Mkuu Maxence Melo, ulisema ukiwa offline bado unaweza kuaccess jamii forums, mbona kwangu haikubali hadi niwe na bundle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…