hadithi hadithi?Hebu tupe kionjo kidogo cha hadithi hata moja basiii......hongereni lakini mmewaza vyema juu ya watt wetu.
Hadith njoo ukweli njoo,utam kolea.....hadithi hadithi?
apo zamani za kale .palitokea binti mmoja anaitwa mumu binti wa mfalme toka nchi ya jamii forum.binti yule akampenda kijana anaitwa shin gun wook..akamfuata pm wakayajenga .na hadithi ikaishia apoHadith njoo ukweli njoo,utam kolea.....