SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

SOFTWARE App ya Hadithi za Watoto

WatotoApp

Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
13
Reaction score
1
Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi.

Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12.

Unaweza kuipata app hiyo katika PlayStore kupitia link hii:
play.google.com/store/apps/details?id=com.watotoappgmail.watotoapp2

Tuliona changamoto kubwa iliyopo katika jamii, ya Watoto kukosa hadithi za kutosha ambazo zinaweza kuwafaa, ndipo tukaamua kuja na App hiyo.
 
Hebu tupe kionjo kidogo cha hadithi hata moja basiii......hongereni lakini mmewaza vyema juu ya watt wetu.
 
Hadith njoo ukweli njoo,utam kolea.....
apo zamani za kale .palitokea binti mmoja anaitwa mumu binti wa mfalme toka nchi ya jamii forum.binti yule akampenda kijana anaitwa shin gun wook..akamfuata pm wakayajenga .na hadithi ikaishia apo
 
ila nikiifungua inajikata
Kaka, nashukuru kwa feedback yako, tumeifanyia kazi. Tumefanya mabadiliko kwenye app yetu. Fanya kui-download na kui-install tena kutoka Play Store. Hope itakuwa sasa, inafunguka vizuri.
 
weka na hadithi za video
Shukrani kiongozi. Kuandaa hadithi za Video kuna gharama kiasi, tofauti na hadithi za Audio. Kwa sasa, tunakusanya nguvu, kwa msaada wa Mungu tutafika huko.
 
Back
Top Bottom