Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Inasema kweli bana imesema mi sina!
Hahahahaaa hahahaaa hili jibu lako lina ukakasi mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasema kweli bana imesema mi sina!
Majuz katika mitandao ya jamii nimetumiwa app ya HIV test inayotaka kudownload kwenye play store ambapo ukishadownload unaweka kidole mda Kama Dk 1 ina scan inakupa jibu kama una virus au haina.
Swali langu ni je app hii ina ukweli wowote katikamajibu yake maana haiko consistent.
Naamini huku kuna wataalam wa afya wanaoweza kutuambia iwapo wanaijua hii app na ufanisi wake.
Hahahahaaa hahahaaa hili jibu lako lina ukakasi mwingi
Majuz katika mitandao ya jamii nimetumiwa app ya HIV test inayotaka kudownload kwenye play store ambapo ukishadownload unaweka kidole mda Kama Dk 1 ina scan inakupa jibu kama una virus au haina.
Swali langu ni je app hii ina ukweli wowote katikamajibu yake maana haiko consistent.
Naamini huku kuna wataalam wa afya wanaoweza kutuambia iwapo wanaijua hii app na ufanisi wake.
"Njia pekee ya kukomesha HIV/AIDS ni kuacha/kukataa kupima HIV".Bado kuna wajinga wengi sana kwenye nchi za dunia ya tatu ambao bado hawajui kwamba hakuna AIDS inayosababishwa na HIV.ARVs ndio sababu halisi ya vifo VYOTE vinavyowatokea wale wanaozitumia.
Ukiweza kuitumia akili yako vyema katika kuhoji na kudadisi kuhusu HIV/AIDS,huo ndio utakuwa ukombozi wako kifikra kuhusu HIV/AIDS,na hapo ndipo utakapojua kwamba "HIV/AIDS IS JUST MINDSET DISEASE".
Kivipi embu fafanua. Kidogo
Kuna kipimo kingine kinaitwa quantum magnetic Resonant.hasa wanakitumia Fore Plan Clinic ya dr Mwaka mbona hawapimi damu na wanagundua magonjwa mengi?.hapa ningependa dr mwenye maujuzi atueleze
hao wanatumia miisho/ncha za neva zilizo kwenye viganja vya mikono na nyayo za miguu.
wanatambua kama kiungo fulani mwilini hakifanyi kazi vizuri lakini hawawezi kupima magonjwa kama typhoid, AIDS au amoeba kwa hiyo njia.
Je wanaweza pima kisukari kwa njia hii?
hapana...ila kwa kuangalia tu viashiria mbalimbali anaweza akajua kuwa huenda mtu ana kisukari, ila kuna kupimo maalumu cha kisukari kisichohitaji damu.