muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 746
- 655
Habari wana JF!
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusu hawa jamaa wa Kikuu Tanzania. Ni application ya kuugiza vitu online. Ukiagiza unapaswa ulipe kwanza wewe, lakini kinachonishangaza ni kwamba mzigo kuupata unalipa leo siku zaidi ya kumi bado mzigo hujapata. Je kwa anayejua naweza tumia muda gani au ni kwamba nimepigwa?