Niliwahi nunua mzigo kikuu ulitumia mwezi 1 na wiki 1 kufika mahari nilipo.Habar wana JF!
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusu hawa jamaa wa kikuu tz. Ni apk ya kuugiza vitu online. Ukiagiza unapaswa ulipe kwanza wewe lakini kinachonishangaza ni kwamba mzigo kuupata unalipa leo siku zaidi ya kumi bado mzigo hujapata je kwa anaejua naweza tumia muda gani au nikwamba nimepigwa
Habar wana JF!

Mzigo wameutrack ndo nini?..by the way bidhaa zote kikuu ni free shipping zamani ilikua unalipia shipping fee kwa baadhi ya bidhaa lakini siku hizi ni kweli bidhaa zote ni free shippingm nmeagza but nashkur mzgo wameutrack na niulzee tu vp n kwel free shipping had naupokea?
Quality ni nzuri kulingana na bei....pungueni sisi tu enjoy.Shida kwa kikuu ni quality ya products zao.
Kwanza pole kwa experience yako ya kwanza.Habar wana JF!