ahsante kuutrack nilitaka kumaanishaa kuwa wameanzaa kuutumaMzigo wameutrack ndo nini?..by the way bidhaa zote kikuu ni free shipping zamani ilikua unalipia shipping fee kwa baadhi ya bidhaa lakini siku hizi ni kweli bidhaa zote ni free shipping
Sio sahihi kusema kuutrack maana kuutrack mzigo unamaana nyingine kabisa tena unafanya wewe na sio waoahsante kuutrack nilitaka kumaanishaa kuwa wameanzaa kuutuma
Kutrack haina maana ya kutuma mzigo na tena hawafanyi wao..mzigo wako unautrack wewe mwenyeweahsante kuutrack nilitaka kumaanishaa kuwa wameanzaa kuutuma
Yaani kama umeagiza mzigo mdogo au wa bei ndogo wanachelewa balaa mkuuMiez ya nyuma wamikoan tulikuwa tunalipa na handling fee...now naona wametoa je walioagiza mizigo inafika wale wa mikoan mana isije kuwa ni dar tu........Nimeagiza kamzgo ka buku sita nione kama utafka npo mkoani kanda ya ziwa....
Siku 10 mbona chache sana?Habar wana JF!
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusu hawa jamaa wa kikuu tz. Ni apk ya kuugiza vitu online. Ukiagiza unapaswa ulipe kwanza wewe lakini kinachonishangaza ni kwamba mzigo kuupata unalipa leo siku zaidi ya kumi bado mzigo hujapata je kwa anaejua naweza tumia muda gani au nikwamba nimepigwa
Sasa unanunua online ulitaka ukipata ndo uilipe?Habar wana JF!
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusu hawa jamaa wa kikuu tz. Ni apk ya kuugiza vitu online. Ukiagiza unapaswa ulipe kwanza wewe lakini kinachonishangaza ni kwamba mzigo kuupata unalipa leo siku zaidi ya kumi bado mzigo hujapata je kwa anaejua naweza tumia muda gani au nikwamba nimepigwa
Na kwa kila item unayoshop, jamaa wanakuandikia kabisa estimated time of delivery. Huyu naye kakurupuka tu. Kikuu bidhaa zao sio za ubora kiviiiiile, lakini when it comes to delivery siku zote kwangu wamedeliver on time. In short huo muda wanaoahidi haujawahi kuchelewa, siku zote napata bidhaa yangu siku kumi kablamuhala.jr,
Mizigo inatoka China, Kuna logistics za kukusanya mizigo, kuisafirisha, clearing, nk ndio maana huchukua muda mrefu
don't be fooled my dear. There is nothing free, only hidden costs invisible even to your naked eyes!Mzigo wameutrack ndo nini?..by the way bidhaa zote kikuu ni free shipping zamani ilikua unalipia shipping fee kwa baadhi ya bidhaa lakini siku hizi ni kweli bidhaa zote ni free shipping
Habari wana JF!
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusu hawa jamaa wa Kikuu Tanzania. Ni application ya kuugiza vitu online. Ukiagiza unapaswa ulipe kwanza wewe, lakini kinachonishangaza ni kwamba mzigo kuupata unalipa leo siku zaidi ya kumi bado mzigo hujapata. Je kwa anayejua naweza tumia muda gani au ni kwamba nimepigwa?
seems that you don't have even a few ideas about online shopping so lemme stop there..i don't have any time for useless arguments witchya only i wanna is preserving my energy by walking away from that shits of useless arguments.don't be fooled my dear. There is nothing free, only hidden costs invisible even to your naked eyes!
sorry for any inconveniences caused.seems that you don't have even a few ideas about online shopping so lemme stop there..i don't have any time for useless arguments witchya only i wanna is preserving my energy by walking away from that shits of useless arguments.
Ushanifkia ndan ya 2 weeksYaani kama umeagiza mzigo mdogo au wa bei ndogo wanachelewa balaa mkuu
Kanunue aliexpress acha ushamba.Habari wana JF!
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusu hawa jamaa wa Kikuu Tanzania. Ni application ya kuugiza vitu online. Ukiagiza unapaswa ulipe kwanza wewe, lakini kinachonishangaza ni kwamba mzigo kuupata unalipa leo siku zaidi ya kumi bado mzigo hujapata. Je kwa anayejua naweza tumia muda gani au ni kwamba nimepigwa?
[emoji3][emoji3][emoji3]Ushanifkia ndan ya 2 weeks
Hata hao Aliexpress wanachelewa kutma mzigoKanunue aliexpress acha ushamba.
SureHata hao Aliexpress wanachelewa kutma mzigo
Nimesubiria mzgo had nimechoka