APP ya Kuficha SMS, usikamatwe na Mwenzi wako?

APP ya Kuficha SMS, usikamatwe na Mwenzi wako?

Yap! [emoji106]
Ila Hawa wake zetu watatupa lini haki yetu na Uhuru wetu wakunyandua wanawake wenzao Kama ilivyo haki yetu ya kiume?

Kwakweli hili Jambo wababa tuende tukalitizame!
🤣🤣🤣
 
Yaani kuna watu hadi leo wanachat kwa SMS za kawaida na michepuko wakati WhatsApp ipo. Mi hadi call za kawaida sipigi kwa mchepuko wangu ni Whatsapp call na texts tu
 
Kwanini usimwambie mpenzi wako kwamba yeye ndiye mchepuko ili kumvunja nguvu
 
Mwisho wa siku hyo unayemficha siku ukianza kujisaidia kwenye pampas ndio atakaye hangaika[emoji38]
Yaani kaba bado unamawzo kuwa Walioathirika na Magonjwa yaliyopo kwenye mawazo yako kuwa wanajisaidiq kwenye pampas, nakupa pole mkuu.
 
Back
Top Bottom