App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

Nimeshawahi fanya na Airbnb nilipata hela, baadae mambo yaliingiliana, changamoto za maisha. Mwenye nyumba alinikatalia pia kuleta wageni kila siku, ila ntarudi tena soon
Mwenye Nyumba ana roho mbaya sana huyo
 
Mimi nimejenga nyumba ndogo ya vyumba viwili self contained, dinning, jiko na sitting yake ipo maeneo ya mkokozi karibu na fun city kigamboni je inawezekana pakafaa kwani hapajachangamka sana?
 
Yes Sir!
 
Safiii aiseee
Nimeshawahi fanya na Airbnb nilipata hela, baadae mambo yaliingiliana, changamoto za maisha. Mwenye nyumba alinikatalia pia kuleta wageni kila siku, ila ntarudi tena soon
 
Vizuri.

Pia mimi nafanya AirBnB Business since 2016

Nitakuja na uzi hapa soon.
Mnafanyaje fanyaje mazee kwani nina vikota viwili vipo tu naweza piga hii ishu Ila vipo kigamboni pembeni ya nyumbani yangu japo eneo langu lipo kimya sana
 
Good.
You have opened my eyes. Great brother!!
Still learning seriously
 
Good.
You have opened my eyes. Great brother!!
Still learning seriously

Karibu brother.

Wakati nimeandika hii post kuna watu walikuja hapa hakunishambulia. Lakini nilijua ni ujinga mwingi tu watu wakionao.
 
Usidanganye watu hapa wageni wa couch surfing ni vishuka balaa ata hivyo we una moyo kukaa nao. Utakuta mtu ana mastress yake huko ulaya kaimbilia bongo ajee akae bure kwako na bado akope muda wako kwako kumtake care. Kwanza wambie watu couch saurfing mgeni anakaa bure kwako mwenye moyo ndo anachangia chakula acha kudanganya watu na still bado we unaweza umhosts akafanye Safari na mwingine hao wageni hata uwezo wa kukodi taxi hawana vishuka balaa
 
Kawaida... Ila hongera... Na wewe Fanya ufunge safari uweze kupokelewa na wao huko makwao... Ulale usiku miwili... Kwa budget ndogo...

Uzi wa watafuta maisha nje wa lusungo na izzo na wenzie ulieleza mengi haya unayo yasema...
Kumbe unakumbuka,nilipakua app nilipata karafiki kakichina Karnataka kaje kukaa gheto kwangu mwaka 2016 halafu nikatumie na Google map ya eneo nilipo kalikuwa demu,kalinipa sharti kalale gheto halafu Mimi nitafute chumba kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…