App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

Very helpful and informative thread. You are doing a good job. Mi huwa nafanya AirBNB kama sehemu ya kuniingizia kipato. Na inalipa kwa kweli hasa miezi ya April mpaka August.
Mtandao una fursa nyingi sana ila vijana hatupendi kujifunza na kuangalia mambo ya msingi. Wengi wanaishia kwenye akaunti za social media twitter, instagram na facebook.
Hii ya AirBNB ikojee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unakurupuka huelewi lolote unaniita tapeli.

Hiyo inalipwa CouchSurfing na pia si lazima.

Kila unapopokea mgeni na kukaa kwako unapewa muda wakuendelea kuwa mwana chama bure.

Mimi nipo toka 2016 na sijalipa hata senti.

Pia kuwa verified unaweza tumia number yako ya simu tu.

You are so stupid young man.
Huu siyo utapeli. Hii service naijua tangu mwaka 2002 nikiwa majuu, japo sikumbuki kama ni site hii hii au ni nyingine. Aliyeniambia ni rafiki yangu kutoka Nepal tulikuwa tuna-share nyumba (choo, jiko na bafu lakini kila mtu na chumba chake) wakati tunasoma. Alijiunga akawa amesafiri kwenda Bulgaria akalala kwa jamaa mmoja. Na yeye siku moja akawapokea wageni kutoka Ureno, wanawake watatu. Akawapa vigodoro wakalala chini kwenye korido. Sidhani kama walifurahia kwani waliondoka asubuhi sana sana.
 
Hii ya AirBNB ikojee

Sent using Jamii Forums mobile app
Una nyumba ambayo haina mtu. Unajisajili kwenye site yao. Kama uko mji A na kuna mgeni anataka kuja huo mji, anaingia kwenye site yao ana-search. Akichagua nyumba yako ulioisajili basi akija anakaa pale kwa muda alio-book. Fedha zinalipwa moja kwa moja AirBNB na wao wanaingiza kwenye account yako baada ya kuchukua commission yao. Ni kama Uber tu inavyofanya kazi lakini hapa ni nyumba badala ya gari.
 
Hii nyumba inatakiwa iweje??yani vigezo
Una nyumba ambayo haina mtu. Unajisajili kwenye site yao. Kama uko mji A na kuna mgeni anataka kuja huo mji, anaingia kwenye site yao ana-search. Akichagua nyumba yako ulioisajili basi akija anakaa pale kwa muda alio-book. Fedha zinalipwa moja kwa moja AirBNB na wao wanaingiza kwenye account yako baada ya kuchukua commission yao. Ni kama Uber tu inavyofanya kazi lakini hapa ni nyumba badala ya gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kiasi kuna wageni wengne ni BAHILI KABISA,hatoi pesa yake !
Ila pia kuna WAGENI WAZURI KABISA,
Wanatoa pesa "mimi nipo dar na nimekutana na wageni wa aina zote"
Usidanganye watu hapa wageni wa couch surfing ni vishuka balaa ata hivyo we una moyo kukaa nao. Utakuta mtu ana mastress yake huko ulaya kaimbilia bongo ajee akae bure kwako na bado akope muda wako kwako kumtake care. Kwanza wambie watu couch saurfing mgeni anakaa bure kwako mwenye moyo ndo anachangia chakula acha kudanganya watu na still bado we unaweza umhosts akafanye Safari na mwingine hao wageni hata uwezo wa kukodi taxi hawana vishuka balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kiasi kuna wageni wengne ni BAHILI KABISA,hatoi pesa yake !
Ila pia kuna WAGENI WAZURI KABISA,
Wanatoa pesa "mimi nipo dar na nimekutana na wageni wa aina zote"

Sent using Jamii Forums mobile app
hao bahili hawafai . kwa hiyo mpaka mgeni mwenyewe aamue kukulipa au inakuaje

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
You sound stupid and ignorant.

No one is forcing you to host no CS.

Wewe bado dogo kwenye hizi mambo kaa kimya.

Stupid.
View attachment 1288280
But he has a point broda mtu anayetaka kuishi bure atakuwa na hela za kuja kuinvest??
Mtu mwenye hela na uwezo wa kuinvest atakuja atake kukaa bure?
In short mi naona kama ni cheap option for cheap people,,tusiexpect mgen akaja don
I'm just asking lakini don't take as an insult
.
.
.
.
On a realer note though hao wageni wa kike waga huwali?
 
Una nyumba ambayo haina mtu. Unajisajili kwenye site yao. Kama uko mji A na kuna mgeni anataka kuja huo mji, anaingia kwenye site yao ana-search. Akichagua nyumba yako ulioisajili basi akija anakaa pale kwa muda alio-book. Fedha zinalipwa moja kwa moja AirBNB na wao wanaingiza kwenye account yako baada ya kuchukua commission yao. Ni kama Uber tu inavyofanya kazi lakini hapa ni nyumba badala ya gari.
Okay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Greetings everybody?

I trust you are good.

Leo kama ilivyo kawaida yangu kutoa maarifa bila uchoyo kabisa nataka nikufundishe jinsi unavyoweza kutumia app ya CouchSurfing kupata wageni toka nchi nyingine (Europe, North America, Africa, Asia, Brazil etc)....lakini pia jinsi unavyoweza tumia opportunity hii kutengeneza pesa au hata kuwa mwanzo wakuunda kampuni yako ya utalii.

Kwa kuanza naomba niseme CouchSurfing ni nini?

CouchSurfing ni mtandao unaosaidia wageni wanaosafiri kwa budget ndogo kupata nafasi yakulala hapo nyumbani kwako iwapo wametembelea mji/kijiji unachoishi.

Kwa kawaida baada ya kujiunga katika site ya CouchSurfing utapokea request kila mara wasafiri toka nje watakapokuwa katika mji unaoishi na wanahitaji uwapokee hapo kwako kwa siku chache.

How amazing that is?

Angalia mfano wa baadhi ya wageni ambao nimewapokea kwangu.

View attachment 1227634


Huyo ni mgeni toka Croatia. Alikaa kwangu siku 2.

Mwingine ni dada wa Kichina toka Shandong, China.

View attachment 1227636

Hao ni baadhi tu.

I have so many references.

Nimetaka nikuonyeshe kwa mifano dhahiri na si blah blah.

Ok.

Sasa twende nikuonyeshe jinsi unavyoweza tumia opportunity hii kutengeneza pesa au hata kufungua kampuni.

Ready?

1 • Fahamu sehemu zote zinazofaa kupeleka wageni katika mji au kijiji unachokaa.

Hapo vipi?

Kama wewe unaishi let say Arusha au Dar es Salaam au Iringa hakikisha unafahamu sehemu chimbo zote za utalii.

Hapa simaanishi hotels au restaurants.

Namaanisha sehemu kama vile waterfalls, msitu mdogo wakufanya hiking, lake, sehemu ya makumbusho, sehemu wanazopika vyakula vya asili, sokoni na kadhalika.

Ukifahamu sehemu amazing zakumpeleka mgeni wako inamaana atakuona wewe ni mjuzi wa eneo lako la hii inaweza baadae kufungua njia ya kufanya business.

Inabidi uwe smart.

Uwe na uwezo wa kuona mbali na kushawishi potential investors.

Ukikutana na wageni usiongee ujinga. Shusha nondo.

Hapa JF tunasema “ficha upumbavu, onyesha weledi wako”

2 • Usiogope kuuza service yako kama local guide.

Yes.

Kama tayari una ufahamu mkubwa wa eneo unaloishi unaweza kuwauliza wageni wako iwapo watakuwa tayari kukulipa fedha ili uwapatie service yako kama local guide.

Kumbuka watu hawatokupa pesa iwapo hujawauzia kitu.

Usijifanye utaonekana vipi. Uza huduma na muda wako.

Hivyo ndiyo tunavyofanya kwenye hii industry.

Kwamfano wewe unafahamu waterfall fulani na wageni wanataka waende hapo. Hiyo ni opportunity ya wewe kuuza hiyo kazi.

Unachotakiwa kufanya ni kuandaa maelezo ya sehemu unayotaka uwapeleke na bei unayopendekeza.

Do you get the point?

Ok hapa kuna mbinu ninaweza kukufundisha namna yakuandaa hii. Niandikie makingmoneyonlinetz@gmail.com nitakusaidia.

3 • Jitahidi ku-improve kuongea Kiingereza ili uwasiliane vema na wageni wako.

Ngoja nikwambie kitu.

Ili watu wakuelewe zaidi inabidi uwe na uwezo wakujieleza vizuri katika lugha mnayo tumia kuwasiliana.

Lakini nikutoe hofu kupokea wageni kupitia CouchSarfing ni mwanzo waku-improve Kiingereza chako kwasababu utapata nafasi yakuongea na wageni direct.

Usiogope kukosea au kujiona huwezi.

Haya mambo hayahitaji degree.

Ni kuwa tayari tu.

Kama bado hujui utaanza vipi usisite kuniandikia.

4 • Kila unapopata mgeni hakikisha amekuandikia review baada ya kumaliza muda wakukaa hapo kwako.

Hizo picha nilizoonyesha hapo juu ni reviews.

Kadiri unapopata review nzuri ndivyo wageni wanakuamini zaidi.

Pia kumbuka kama utawaibia au kuwakwaza wageni watakuandikia review mbaya na hakuna mtu atakayekuamini.

Kwahiyo jitahidi kuwa mkweli katika mambo yako yote.

Binafsi mgeni akisoma reviews zangu nyingi na zote ni positive lazima atanitumia ujumbe tu.

Na hapo ndiyo mwanzo wa mimi Kutengeneza pesa.

5 • Tumia muda wako wa free ku-hung out na wageni walipo kwenye mji wako lakini hawajafikia kwako.

Yes.

CouchSurfing inatoa nafasi ya wageni kukutana na locals labda mkapata lunch au kahawa.

Lengo ni Kutengeneza urafiki lakini pia wewe mwenyewe kumfahamisha mgeni mambo mengi kuhusu mji unaoishi.

Mambo yapo mengi yakuonge wakati mnapata lunch au coffee.

Inaweza kuwa tamaduni ya watu wako, sehemu za utalii katika mji wako au hata mipango yako ya maisha tu.

Kamwe usiwe kama baadhi ya watu wakikutana na wageni wanaanza kubonyeza bonyeza simu.

Kuwa mcheshi.

Usiwe awkward ukiwa mbele ya watu wapya.


Ok, kwa leo ngoja niishie hapa. Tukutane tena siku nyingie katika darasa amazing kama hili.
Umesomeka mdau ntakutafuta
 
Kuna kipindi nilikuwa na weka hotels kwenye booking websites kama booking.com na Expedia contact nikawa na weka zakwangu..Booking ikifanywa mimi ndio nakuwa notified harafu hotel inanipatia commission..
Ilinisaidia sana kipindi nimemaliza chuo..
Bro hii bado unaendelea kufanya? Na hizo hotels unakubaliana nazo au unachukua then unafanya ya kwako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom