App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

Hii App nili download kama ×2 nakujiunga ila siielewi yani ina vidubwasha vingivingi complicated mpaka nimeifuta.
Me nilidownload na nikafuta na rafiki nilipata tena ghafla nilikuta SMS toka China anatumia Google translates
 

You sound stupid and ignorant.

No one is forcing you to host no CS.

Wewe bado dogo kwenye hizi mambo kaa kimya.

Stupid.
 
Kuna kipindi nilikuwa na weka hotels kwenye booking websites kama booking.com na Expedia contact nikawa na weka zakwangu..Booking ikifanywa mimi ndio nakuwa notified harafu hotel inanipatia commission..
Ilinisaidia sana kipindi nimemaliza chuo..
 
Very helpful and informative thread. You are doing a good job. Mi huwa nafanya AirBNB kama sehemu ya kuniingizia kipato. Na inalipa kwa kweli hasa miezi ya April mpaka August.
Mtandao una fursa nyingi sana ila vijana hatupendi kujifunza na kuangalia mambo ya msingi. Wengi wanaishia kwenye akaunti za social media twitter, instagram na facebook.
 
Nime pata kitu kipya.
Ila jamani tuwe tunapenda kujifunza vitu vipya kila leo.
Na kijifunza ni ghalama kwanini muogope ghalama Kama nia ipo kujifunza!
Na pia tupende kuumiza kichwa tuna penda kufanyiwa kilakitu tena bila malipo hii siyo sawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Karibu sana mkuu.

Mimi nitakuwa hapa kuwaonyesha watu opportunity watu wanaweza kutumia na kujiongezea kipato au kupata connections.

Nimeandika mambo mengi sana nikifundisha watu kuhusu

1 • Online Freelancing (jinsi yakupata kazi na kutengeneza pesa)

2 • Jinsi yakuanza biashara na kuhakikisha inakuwa. I know so many people struggle when it comes to get customers. Sasa hapa mimi ndiyo naweza kuwaonyesha entrepreneurs how to get customers.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
GLOBAL CITIZEN, Uzi mzuri sana huu, asante kwa kutufungua akili. Niliwaza kama huyo uliyemjibu mbona nilipo hakuna kivutio chochote lakini kumbe kwa jibu lako nimefunguka zaidi kumbe zipo sehemu nyingi tu za kupeleka wageni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu niazishe iyo Mishe..
Ila kwa usalama... What if ukapokea mgeni ambaye ni mwizi/mhalifu/gaidi alafu amekaa kwako mara interpol wanagonga mlango wanakubeba na wewe kama mfadhili wa magaidi!! Hii inekaaje?
Ata Mimi pia nimwbaki na swali.....?bila majibu....
 
Mm najua french nafasi yangu iko wapi kwenye biashara hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…