App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

Hii ya AirBNB ikojee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu siyo utapeli. Hii service naijua tangu mwaka 2002 nikiwa majuu, japo sikumbuki kama ni site hii hii au ni nyingine. Aliyeniambia ni rafiki yangu kutoka Nepal tulikuwa tuna-share nyumba (choo, jiko na bafu lakini kila mtu na chumba chake) wakati tunasoma. Alijiunga akawa amesafiri kwenda Bulgaria akalala kwa jamaa mmoja. Na yeye siku moja akawapokea wageni kutoka Ureno, wanawake watatu. Akawapa vigodoro wakalala chini kwenye korido. Sidhani kama walifurahia kwani waliondoka asubuhi sana sana.
 
Hii ya AirBNB ikojee

Sent using Jamii Forums mobile app
Una nyumba ambayo haina mtu. Unajisajili kwenye site yao. Kama uko mji A na kuna mgeni anataka kuja huo mji, anaingia kwenye site yao ana-search. Akichagua nyumba yako ulioisajili basi akija anakaa pale kwa muda alio-book. Fedha zinalipwa moja kwa moja AirBNB na wao wanaingiza kwenye account yako baada ya kuchukua commission yao. Ni kama Uber tu inavyofanya kazi lakini hapa ni nyumba badala ya gari.
 
Hii nyumba inatakiwa iweje??yani vigezo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kiasi kuna wageni wengne ni BAHILI KABISA,hatoi pesa yake !
Ila pia kuna WAGENI WAZURI KABISA,
Wanatoa pesa "mimi nipo dar na nimekutana na wageni wa aina zote"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kiasi kuna wageni wengne ni BAHILI KABISA,hatoi pesa yake !
Ila pia kuna WAGENI WAZURI KABISA,
Wanatoa pesa "mimi nipo dar na nimekutana na wageni wa aina zote"

Sent using Jamii Forums mobile app
hao bahili hawafai . kwa hiyo mpaka mgeni mwenyewe aamue kukulipa au inakuaje

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
You sound stupid and ignorant.

No one is forcing you to host no CS.

Wewe bado dogo kwenye hizi mambo kaa kimya.

Stupid.
View attachment 1288280
But he has a point broda mtu anayetaka kuishi bure atakuwa na hela za kuja kuinvest??
Mtu mwenye hela na uwezo wa kuinvest atakuja atake kukaa bure?
In short mi naona kama ni cheap option for cheap people,,tusiexpect mgen akaja don
I'm just asking lakini don't take as an insult
.
.
.
.
On a realer note though hao wageni wa kike waga huwali?
 
Okay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesomeka mdau ntakutafuta
 
Kuna kipindi nilikuwa na weka hotels kwenye booking websites kama booking.com na Expedia contact nikawa na weka zakwangu..Booking ikifanywa mimi ndio nakuwa notified harafu hotel inanipatia commission..
Ilinisaidia sana kipindi nimemaliza chuo..
Bro hii bado unaendelea kufanya? Na hizo hotels unakubaliana nazo au unachukua then unafanya ya kwako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…