AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
Please,
Ninayo biashara ambayo watu wanaweza kuinunua online, ninahitaji kutengeneza app nzuri, ninawezeje kuuza vitu vyangu kwa kutumia simu yangu tu? Wenye uelewa, nipeni procedure na namna ya kufanya, na kwa wale wajuzi kama naweza kuwalipa ili wanitengenezee kitu chenye security ya kutosha.
Thanks.