App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

myyola

New Member
Joined
Jun 15, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando.

Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako.

Nini maoni yako
 
Mm natumia Mpesa App na ina vyote hivo ulivyotaja .

Naweza tumia bila internet , naweza kufungua au kuruhusu muamala kwa kutumia fingerprint pia . Kuna la ziada ?
 
Ungesema Airtel app ningekubali lakini sio kwa Tigo.. Togo wameiga vingi kutoka Vodacom katika upande wa App
 
Back
Top Bottom